Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, October 13, 2015

HABARI:BALOZI JUMA MWAPACHU AJITOA CCM


Mwanasiasa na mwanachama mkongwe chama cha CCM Balozi Juma Mwapachu ametangaza rasmi kuwa kuanzia kesho hatokuwa mwanachama wa chama cha CCM na atarejesha kadi ofisi ya CCM kata ya Mikocheni Dar es salaam na sababu kubwa ya kujitoa ni kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho kwa sasa maana kimepoteza dira ila hajaamua kujiunga na chama chochote

0 comments: