Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, August 25, 2015

MARUFUKU LOWASA KUFANYA SUPRISE NA KUPANDA DALADALA-LIMESEMA JESHI LA POLISI

 KITENDO KAMA CHA LOWASSA KUPANDA DALADALA NA KUSHTUKIZA WANANCHI NI MARUFUKU- KOVA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limepiga marufuku wagombea urais kufanya vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa wananchi.
East Africa Television (EATV)'s photo. Akiongea leo Jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Kanda hiyo Suleiman Kova ametolea mfano kitendo cha jana cha mgombea urais wa Chadema Mhe. Edward Lowassa cha kufanya ziara ya kushtukiza kwa wananchi na kupanda daladala.
Amesema ziara hiyo ya Mhe. Lowassa na mgombea mwenza wake Juma Duni Haji walitembelea Gogo la Mboto, ingeweza kuhatarisha usalama wa wananchi kwa kuwa watu wengi walikusanyika na wengine kuacha kazi zao.

0 comments: