Waokoaji Kaskazini mwa Ufilipino wanachimbua ardhini kwa lengo kutafuta mamia ya wachimba madini, baada ya kukumbwa na kimbunga.
Zaidi ya watu kumi na tano wameripotiwa kufariki dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo.Mmomonyoko wa udongo ulisababishwa na kimbunga ambacho kilifukia migodi mitatu kaskazini mwa kisiwa cha Luzon.Kimbunga Goni kwa sasa kimepungua kasi na kinaelekea Japan katika kisiwa cha Ryukyu
0 comments:
Post a Comment