Ndoa hii ni ya Bwana Daniel Frederick Bakeman (aliyezaliwa tarehe 9 Oktoba 1759 – na kufariki Aprili 5, 1869 ) na alipigana Marekani Vita ya Mapinduzi (mwaka 1775-hadi 1783 ).
Yeye anadai kuwa alizaliwa tarehe 9 Oktoba 1759 huko New York.Amedai kuwa katika umri wa miaka kumi na mbili alimuoa bibi Susan Brewer wa New Jersey(ambaye WAKATI HUO alikuwa na umri wa miaka kumi na nne na nusu Agosti 29, 1772.
Ndoa yao, iliyodumu miaka 91 na siku 12, ndio ndoa iliyodumu
kuliko zote duniani Hadi hivi sasa.
Pamoja nao walikuwa na watoto nane: Phillip, Richard,
Christopher, Betsey, Margaret,Susan (aliyezaliwa 1804),
Mary na Christine.
Mke wake alifariki Septemba 10, 1863 akiwa na
umri wa miaka mia moja na tano.
Bakeman alikufa miezi sita kabla ya siku yake ya kuzaliwa ya 110,
mnamo mwezi Aprili 5, 1869 na kuzikwa New York.
0 comments:
Post a Comment