Mwenyekiti wa Umoja wa
Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Regnald Mengi (katikati),
akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Dk.Wilibrod Slaa kwenye uagaji wa mwili wa Edson Kamukara. Kulia ni
Mbunge wa Bukoba mjini, Khamis Kagasheki.
Mmoja wa waandishi wa habari akiwa amepoteza fahamu wakati wa kuaga mwili huo.
Wanahabari na waombolezaji
wengine wakiwa wamejipanga foleni wakati wa utoaji wa heshima za mwisho
kwa mwili wa marehemu Edson Kamukara.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Mwanahalisi, Said Kubenea (katikati), akisaidiwa baada ya
kuishiwa nguvu wakati akitoa heshima za mwisho kwa marehemu
Mwenyekiti wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akisalimiana na Mbunge
wa Bukoba mjini, Balozi Khamis Kagasheki wakati wa kuuaga mwili wa
Edoson Kamukara.
Wanafamilia ya marehemu wakiwa kwenye shughuli hiyo
Sehemu ya umati wa watu katika shughuli hiyo.
Mwakilishi wa wanafunzi
waliosoma na marehemu Shule ya Sekondari ya Majengo, Joachim Mushi
akizungumza kabla ya kutoa rambirambi yao ya sh.500,000.
Viongozi wa serikali na vyama vya siasa wakiwa kwenye shughuli hiyo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,
Paul Makonda akizungumza katika uagaji wa mwili wa marehemu ambapo
alipigania waajiri wa vyombo vya habari kutoa mikataba ya ajira kwa
wanahabari.
Mwenyekiti wa Umoja wa
Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Regnald Mengi akimfariji
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwanahalisi, Said Kubenea alikuwa akifanyakazi
marehemu Edson Kamukara.
Ni vilio tu kwa wanahabari.
Shughuli ya uagaji ikiendelea.
Dada ya marehemu Edson Kamukara akitoa heshima za mwisho.
0 comments:
Post a Comment