Burudani ni kwamba kwenye Uwanja wa Ndege wa
Las Vegas linapopigwa pambano
hilo, zimejazana ndege ile mbaya.
Ndege za matajiri hao, hadi imelazimika
ziegeshwe kwa utaratibu usio sahihi kwa kuwa ziko nyingi ile mbaya.
Ila imeelezwa wengi wao wanaondoka baada ya
mechi hiyo asubuhi ya kurejea sehemu mbalimbali duniani.
0 comments:
Post a Comment