Tanzania ya sasa kama unafanya kitu jifungie chumbani lasivyo utapigwa picha na hivi kila mtu ana simu halafu baada ya hapo unatupwa mtandaoni sasa huko ndiko kunako shughuli......HII picha Mh.Nyalandu alipiga kwa nia nzuri tu ila watu wanahoji iweje waziri mzima abebe bebe wafanyakazi wanyapori,HALAFU kwanini kama ni baunsa asibebe midume na ipo mingi ACHAGUE huyu demu mzuri mzuri?
CHECK me!!!!
Friday, May 15, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment