Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Saturday, March 21, 2015

WAMASAI WALIVYOFANYA YAO JIJINI ARUSHA WACHOMA MOTO NYUMBA NA MAGARI BAADA YA MWENZAO KUUWAWA__FFU WAINGILIA KATI,HIZI NI PICHA ZAIDI

Vurugu kubwa zinaripotiwa kutokea leo maeneo ya Olasiti jijini Arusha baaada ya habari ambazo bado kuthibitishwa rasmi zimeanza kufuatia mtu mmoja kukuta mfanyakazi wake wa kike akiwa  amelala  na anayedaiwa kuwa mpenzi wake ndani ya nyumba anayofanyia kazi. 

Inasemekana baba mwenye nyumba alikasirika sana kwa kitendo hicho na akampiga huyo kijan hadi akafa. Ndipo marafiki wa huyo anayedaiwa kuuwawa wakakusanyika nyumbani hapo na kuchoma moto nyumba na magari mawili kabla askari wa kutuliza ghasia kufika na kupambana nao kwa masaa kadhaa. Habari kamili na rasmi itawajia mara baada ya kupatikana




Nyumba hiyo ikiungua moto


Sehemu ya nyumba hiyo na gari 




Moja ya magari yaliyochomwa moto



Gari lingine lililochomwa moto




Majirani na wapita njia wakiangalia nje ya nyumba hiyo.

0 comments: