Sakata la Nay wa Mitego na Aliyekuwa Mpenzi wake Siwema limeingia
ukurasa mpya baada ya Siwema Kumjibu Nay wa Mitego na Kusema mambo
makubwa yakushtusha.....
Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani:
"Daah,siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt,iko
hivi:@nay,naomba usisahau kama niwewe uliniambia nitafute boyfrnd..tena
ulintukania hd mamang marehem,nilikushukuru tu..nilikaa kimya kwa siku
kadhaa but nilirudi tena kukuomba msamaha..mamaako.mzazi anajua,dadaako
tina anajua...unasema umenifumania,jaribu kumuogopa mungu,we unakuja
kwangu umekuta nmembeba curtis metoka kumpa maziwa..leo unasema umekuta
mi nasex kitandani..dahh ,ongea ukweli..nay mimi ndio nilikua
nakupenda,hukuwah onyesha mapenzi hata siku1 kwangu,nilikua natetea
penzi letu sanaaa..mimi ndo napost insta watsap lakin hukuwah kuonyesha
hlo japo unaeza sema ulinisamehe ile ishu ya obasanjo ,wallah
nilikupenda mungu anaona mpaka nikamkana yule baba alikua ananipa kila
kitu nikaamua kua nawewe,sikuwah kuijua shida..naezasema ulinisamehe
kinafiki caus tangia hapo hadi najifungua sikua na raha..huu sio mwili
wangu mimi,kila siku mamaako alikua analia na mimi ,okey haijalishi
umenifumania au nini caus tayari ulishanitamkia umenchoka nay..namimi
sio mjinga kusex sasahiv mwanangu akiwa mdogo..nmebeba mimba
miez9,nmezaa kwa uchungu..niwewe ndo ulisababisha mimi nisimnyonyeshe
mwanangu cz sikuaeza kupata maziwa kwasababu ya stress..leo unatangaza
umeninunulia gari,unanipa kila kitu..nay nini umenipa?gari nimali
yangu,where's ma lexus,verrosa?kweli hujawah kunipiga lakin ulikua
unaninyanyasa .mwanamke yyte ambae angekua mimi lazima angecheat tu,wewe
huyohyo unafanya enterview unaulizwa kuoa unasema huwez utashuka
kimziki akati mimi niko kwako na mtoto mdogo...na moyo gani?vingap
umenfanyia?siwez ongea kila kitu ila jua umenrudisha nyuma saaana
tu.mamaako shahidi wangu!!...unakumbuka ulikua unaniambia kila siku wewe
unawatoto,nikwel unao,wengi tu nawajua sio hawa watatu
unaowasema..waseme wooote..
Sasa nataka nikwambie tu hivi hata curtis sio wako ,babake
ni obasanjo.yule alienivalisha pete!!..am done kwa hapa ila nnamengi
tu,naumia sana sanaa!! ,pls nisiulizwe kitu tena wapenzi,nawapenda n
thanx"
0 comments:
Post a Comment