Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Helena Shumbusho |
mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea mkoani humo
tayari kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo
la Mbiga Magharibi Marehemu Kapteni John Damiano Komba aliyefariki hivi
karibuni katika hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam, mwili wa Kapteni
John Komba unazikwa leo huko kijijini kwao Lituhi mkoani Ruvuma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama na serikali mkoani Ruvuma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu Mwigulu Nchemba na Katibu wa Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye wakisalimiana na wananchi wa Songea baada ya
kuwasili mkoani humo tayari kwa mazishi ya Marehemu Kapteni Komba.
0 comments:
Post a Comment