picha za tukio la moto baada ya moja ya jengo la MABIBO HOSTEL kushika moto hii leo
Baadhi ya wanafunzi wanafanya jitihada za kuokoa mali zilizopo katika bweni hilo.
Wanafunzi wakijaribu kuokoa baadhi ya mali kutoka katika bweni la Block B kwenye hosteli ya Mabibo, Dar.
MOTO mkali umeunguza bweni la Block B la hosteli ya Mabibo jijini Dar
es Salaam muda huu. Chanzo cha moto huo na bado hakijafahamika.Baadhi ya wanafunzi wanafanya jitihada za kuokoa mali zilizopo katika bweni hilo.
0 comments:
Post a Comment