Kuna tetesi zilizoenea kuwa wa dada wa mjini akiwemo muigizaji, Jacqueline Wolper wamemchoka msanii Shilole kwa madai kuwa amekuwa akimpiga mpenzi wake Nuh Mziwanda mara kwa mara na wanataka kumtafutia mpenzi mwingine ambae hatampiga, mpango uliopangwa siku ambayo Shilole alimpiga Nuh na wasanii waliokuwepo kuingilia.
upande wa Shilole amesema sio kweli ila watu wanazusha ili
kuwagombanisha jambo ambalo hawatafanikiwa kwa kuwa Wanajiamini sana.
Kwa upande wa Nuh amesema kuwa ndio kwanza anasikia taarifa hizi ila mwanaume huwa hatafutiwi mwanamke na kupigwa ni sehemu ya penzi
Kwa upande wa Nuh amesema kuwa ndio kwanza anasikia taarifa hizi ila mwanaume huwa hatafutiwi mwanamke na kupigwa ni sehemu ya penzi
0 comments:
Post a Comment