Ajali hiyo imehusisha basi la majinja
lililokuwa likitokea mbeya kwenda dar na kupata ajali eneo la
changarawe mafinga baada ya kuangukiwa na semi trailer ....taarifa za awali zinasema
watu 60 wamefariki
Huu ni msiba mkubwa sana katika nchi yetu baada ya ule wa Shinyanga
CHEK PICHA YA AJALI HIYO MBAYA KABISA
Huu ni msiba mkubwa sana katika nchi yetu baada ya ule wa Shinyanga
CHEK PICHA YA AJALI HIYO MBAYA KABISA
0 comments:
Post a Comment