JARIDA LA FORBES limetaja mabilionea wapya huku Tanzania ambapo NAFASI YA kwanza aliyokuwa ROSTAM AZIZ akichukuliwa naMOHAMED DEWJI
Kwa mujibu wa forbes DEWJI mwenye umri wa miaka 39 anamiliki kiasi cha dola za kimarekani 1.3 bilions utajiri unaomfanya ashike nafasi ya 1500 kwa utajiri duniani,nafasi ya 31 Africa na nafasi ya kwanza Tanzania
ROSTAM Azizi AMBAYE anaumri wa miaka 50 sasa hivi anamiliki kiasi cha dola za kimarekani bilioni 1 anakamata nafasi ya 1741 duniani nafasi ya 32 Africa na nafasi ya 2 Tanzania
kwa list nzima BONYEZA HAPA___LIST YA MABILIONEA
wa kwanza Africa ni raia wa Nigeria Aliko Dangote, ambaye anamiliki $15.7 billioni
HII HAPA NI TOP 10 YA MABILIONEA DUNIANI KWA MWAKA 2015
#1 | Bill Gates | $79.2 B | 59 | Microsoft | United States | |
#2 | Carlos Slim Helu | $77.1 B | 75 | telecom | Mexico | |
#3 | Warren Buffett | $72.7 B | 84 | Berkshire Hathaway | United States | |
#4 | Amancio Ortega | $64.5 B | 78 | Zara | Spain | |
#5 | Larry Ellison | $54.3 B | 70 | Oracle | United States | |
#6 | Charles Koch | $42.9 B | 79 | diversified | United States | |
#6 | David Koch | $42.9 B | 74 | diversified | United States | |
#8 | Christy Walton | $41.7 B | 60 | Wal-Mart | United States | |
#9 | Jim Walton | $40.6 B | 67 | Wal-Mart | United States | |
#10 | Liliane Bettencourt | $40.1 B | 92 | L'Oreal | France |
0 comments:
Post a Comment