HILI NI JESHI la chama cha CHADEM
A maarufu kama Red brigade,ambalo wahusika wanadai kuwa ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya Chama hicho
Na hapa ni wakati wakila kiapo cha utii kwa mwenyekiti wa chama hicho huko mkoani MWANZA siku ya Jumamosi
Wakati tunaelekea katika uchaguzi mkuu mwezi wa kumi mwaka huu HAYA yanatokea je UNAMAONI GANI KUHUSIANA NA JAMBO HILI?

0 comments:
Post a Comment