BAADA ya kutoa video ya kiboko yangu aliyomshirikisha ALLY KIBA>>>MWANA FA ametoa kionjo cha ngoma yake ijayo akiwa kamshirikisha SWAHIBA wake AY inaonyesha itakuwa bonge la ngoma skiza hapa kionjo hicho na hii ni baada ya muda mrefu bila wawili hao kutoa collabo tangu enzi za bila kukunja goti
ONA Hapa
ONA Hapa
0 comments:
Post a Comment