Maji yakiwa yamejaa katika uelekeo wa kituo cha Sayansi kutokea Bamaga-Mwenge.
MVUA ya
muda mfupi iliyonyesha jijini Dar es Salaam na maeneo ya jirani asubuhi
ya leo iliyaacha maeneo mengi yakiwa yamejaa maji na kusababisha shida
kubwa kwa wakazi wa jiji hili. Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na kadhia
hiyo ni Bamaga-Mwenge ambako mitaro yenye kusafirisha maji ilijaa na
maji kufurika hadi katika barabara na kufanya magari na waenda kwa miguu
kupata shida.
0 comments:
Post a Comment