Mfalme wa Auto-Tune, T-Pain kutoka Marekani anatarajia kuja Tanzania mwezi
ujao na kutumbuiza jijini Mwanza, kwenye tamasha la uzinduzi wa radio mpya
iitwa Jembe FM.Katika tamasha hilo mkali huyo wa marekani atasindikizwa NA diamond platinumDIAMOND kaandika hivi katika hivi ......
MWANZA!!! Get ready for the #STEPUP2014.... Kwa mara ya Kwanza Kabisa!!!, Hapa MONDI hapa NAPPY BOY!
MWANZA!!! Get ready for the #STEPUP2014.... Kwa mara ya Kwanza Kabisa!!!, Hapa MONDI hapa NAPPY BOY!
0 comments:
Post a Comment