Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Friday, January 16, 2015

AUDIO:KILICHOTOKEA UDOM__LICHA YA KUFUKUZWA KWA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WANAFUNZI BWANA MWAKIBINGA__ASEMA ATARUDI_AIKAUMU SERIKALI KUWATEKELEZA WANAFUNZI NA KUWA MALAYA

Mr Dannis akiwa na Msouth kato baada ya kumtembelea kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom aliyepata majanga ya kuvunjika mguu baada ya kuruka kwenye gari na kutaka kuwakwepa Polisi waliokuwa wanahakikisha usalama unapatikana katika chuo hicho cha Udom kutokana na baadhi ya wanafunzi kuwashawishi wanzao kufanya maandamano yasiyokuwa ya Maani kutokana na kile kinachodaiwa kutopata Mkopo kwa muda unaostahili
Kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom anayefahamika kwa jina la Iddy aliyepata masaibu baada ya kuvunjika mguu katika vurugu za mgomo uliyofanywa na wanafunzi wa Udom wa college ya social science.. Kijana Iddy ambaye amelazwa katika hospitali ya General Dodoma leo hii amepatiwa msaada Mh Shabiby wa fedha za 
matibabu pamoja na while chair baada ya kuzuiliwa kutoka hospitali hapo nkutokana na deni kubwa la matibabu aliyokuwa anadaiwa hospitalini hapo.. Paparazi wa blog ya Boss Ngasa alifanikiwa kupata nafasi ya kuongea na mzazi wa mwanafunzi huyo na kudai kuwa aliambiwa atapata msaada kutoka chuoni hapo lakini cha kushangza mpk muda huu wa jioni hatujapa msaada wowote kutoka chuo hicho zaidi ya kupigwa chenga na kutupiana mpira.. Baba wa kijana huyo ametoa shukrani za pekee kwa Mh Shabiby baada ya kuguswa kiubinadamu na kumsaidia kijana wake... Kijana Iddy kwa sasa anaendelea vizuri
ALIYEKUWA WAZIRI WA SERIKALI YA WANAFUNZI_bwana MWAKABINGA 
amesema kuwa licha ya yeye kudukuzwa kutokana na kuhusishwa na mgomo _ila atarudi hata iweje na pia serikali inatakiwa isikwepe lawama kuwa imesababisha wanafunzi wa chuo hicho kujiuza,msikilize hapa akiongea NA KALI ZA DJ YEYO...na kufunguka mazito

0 comments: