Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Friday, January 23, 2015

COMMING SOON>>>>>>dJ NAS JUMATATU IJAYO KUJA NA GOMA amaizing

COMMING SOON>>>>>>
 Jamaa anaitwa NICKSON JOSEPH SANGA a.k.a DJ NAS _ni kati ya mapresenter wakali nyanda za juu kusini na pia ni dj pale Redio Ebony.
mbali na kwamba anafani kibao ila pia ni mwana Hip Hop mkali kinoma nyanda za juu kusini,baada ya kutamba na salamu kwa Jakaya SASA anakuja na SINGLE MATATA__Ndimgayasida
single HII itakuwa officially released Jumatatu ijayo ya tarehe 26.01.2015
 Itapatikana hapahapa kali za dj yeyo
 

Related Posts:

0 comments: