MADAME Wema Sepetu yupo
katika harakati za kumtengeneza nyota wa muziki baada ya kubwagana na
icon kutoka Bongo Nassib Abdul aka Diamond Plutnatm, hivi sasa Wema
akiwa na kundi lake toka mwaka jana anaandaa show katika kumbi
mbalimbali ili kuziba pengo liloachwa na King wa muziki wa kizazi
Bongofleva.
Wema
akiwa sambamba na mpambe wake Aunty Ezekiel walikuwepo Dodoma na
Morogoro kwa ajili ya show hizo ambazo zilikuwa zikitumbuizwa na Mirror
Ali Luna na wasanii wengine Mirror yupo chini ya usimamizi wa Wema
kupitia kampuni ya EndlessFame.
Akiongea
na FC mpenzi mmoja wa Wema kutoka Mji mkuu wa Bongo Dodoma amesema kuwa
anaona wazi kabisa kuwa Wema amekosa shangwe ambazo alikuwa akizipata
kutokana na shamrashamra za burudani anapokuwa na Diamond katika
matamasha mbalimbali.
“Mimi ni funs wa Madame Wema leo nilipokuja katika show hii nimebaini kuwa nyota wangu kuna vitu anamiss kutoka kwa mchizi, unajua Madame kashajizoesha hoya hoya, na anataka zifanywe na mtu wake, sasa hayupo labda ndio awatengeneze akina Mirror,”alisema shabiki huyo wa Wema alijitambulisha kwa jina la Juma Mdingo.

Wema akisakata rhumba ukumbini |
Vijana wa Wema wakiwa kazini mwenye fulana nyeusi ni Mirror mbele yke ni msanii Ally Luna |
0 comments:
Post a Comment