Picha za hivi karibuni zinaonyesha Herufi N aliyochora katika kidole cha pete mkono wa kushoto (ikiwa inawakilisha jina la kwanza la Future ambalo ni Nayvadius)ikiwa imefutwa kama ilivyo pichani
Wapenzi hao walitemana mwezi August mwaka huu wakati ciara akimtuhumu Future kuwa kamsaliti
0 comments:
Post a Comment