Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, November 24, 2014

Noma;familia ya bob marley ni soo

Familia ya hayati Bob Marley ikishirikiana na kampuni moja ya Seattle, imeanzisha brand ya kwanza ya dunia ya bangi chini ya jina lake, mmea ambao msanii huyo wa reggae alipenda kuuita “the herb”.



22_020411marley_76_1
 kampuni hiyo, Privateer Holdings imepata kibali kutoka kwa warithi wa Marley kuzalisha bidhaa za bangi zitakazokuwa chini ya jina ‘Marley Natural’.

Miongoni mwa bidhaa hizo ni pamoja na lotion na mafuta yenye harufu ya mmea huo.
“Baba yangu angekuwa na furaha sana kuona watu wanaelewa nguvu ya uponyaji ya mmea huo,” alisema mtoto wa kwanza wa kike wa Bob, Cedella Marley anayeishi Miami.
 

0 comments: