Miss Hondurus 2014, Maria Jose Alvarado hajulikani alipo. Polisi wanamshikilia boyfriend wa dada yake kama mshukiwa mkuu
Alvarado, 19, na dada yake Sofia Trinidad walipotea Alhamis iliyopita wakiwa kwenye mji wa Santa Barbara baada ya sherehe ya kuzaliwa ikiwa ni siku chache tu kabla hajaenda London kwaajili ya shindano la Miss World.
Polisi wamemkamata mpenzi wa Sofia, Plutarco Antonio Ruiz kwa shutuma za kuwateka. Hadi sasa bado hawajapatikana.
Honduras, nchini maskini yenye watu milioni nane pekee ni miongoni mwa nchi zenye uhalifu zaidi duniani.
Alvarado, 19, na dada yake Sofia Trinidad walipotea Alhamis iliyopita wakiwa kwenye mji wa Santa Barbara baada ya sherehe ya kuzaliwa ikiwa ni siku chache tu kabla hajaenda London kwaajili ya shindano la Miss World.
Honduras, nchini maskini yenye watu milioni nane pekee ni miongoni mwa nchi zenye uhalifu zaidi duniani.
0 comments:
Post a Comment