Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Wednesday, November 5, 2014

NEWS:HiKI NI KIASI AMBACHO CHRISS BROWN HUTOZA KWA COLLABO

Interview ya Chris Brown aliyofanya na kipindi cha ‘Ebro in the Morning’ kupitia Hot 97 hivi karibuni ilifungua mambo mengi kuhusu masha yake, mahusiano yake, na muziki wake pia  
Breezy

Upande wa muziki Breezy alitaja viwango anavyotoza wasanii wanaotaka kumshirikisha kwenye nyimbo zao

BREEZY amesema kiwango anachotoza mara nyingi kwa wasanii wanaotaka kumshirikisha ni kama $250,000 ambayo ni sawa na zaidi ya Tsh milioni 426. 

“It depends. Some people I give a homie price to… The most I charge is like $250,000… If the song’s already a hit, then I’ll get on it. But I’m still gonna take some publishing…and if they say they can only give you $30,000, I need 50 percent of the publishing. ‘Cause I’m gonna get on the record, not to toot my own horn…

Related Posts:

0 comments: