WAzungu wanasema ni vizuri kutumaini mema na kujiandaa kwa mabaya. Kama
mambo yataenda vile ambavyo yanaenda sasa, huenda Idris akarudi na
$300,000 za Big Brother Africa
Mpiga picha huyo amegeuka kuwa si tu kipenzi cha wasichana, bali cha
mashabiki wengi wa shindano hilo. Kikubwa anachopendewa ni ule uwezo wa
kuweza kuwa rafiki wa kila housemate.
CHECK me!!!!
Wednesday, November 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment