Na hivi ndivyo camera yetu ilivyowanasa wakati wanaendelea na usafi huo. |
Katika harakati za kuweka mji wa Iringa kwenye hali ya usafi zaidi ili kuweza kuepukana na magonjwa ya mlipuko ambayo huwa ni hatari kwa binadamu.hii ilikuwa ikifanyika maeneo ya uwanja wa Mwembetogwa,, na kama tunavyojua manispaa ya mkoa wa Iringa ilifanikiwa kwa kushika nafasi ya kwanza katika kulinda na kuhifadhi mazingira, hivyo ni jambo zuri ,fanya usafi linda afya yako. |
0 comments:
Post a Comment