KOCHA wa Manchester United Louis van Gaal, ameanza
kujipanga kwa usajili wa dirisha dogo mwezi Januari ambapo tayari
amewekeza akili yake kwa full beki wa Torino ya Italia, Matteo Darmian.
Van
Gaal anamtaka Matteo Darmian kwa vile ni beki anayetumia miguu yote na
ana uwezo wa kucheza nafasi zote mbili za beki ya pembeni – kulia na
kushoto.
Matteo
Darmian mwenye umri wa miaka 24 anatajwa kuwa na thamani ya pauni
milioni 15, kitu ambacho hakitakuwa tatizo kwa Van Gaal.
0 comments:
Post a Comment