Muhammad Ali alipiga picha akiwa na furaha tele, aliendelea kuonyesha yeye ni bondia katika maisha yake yote.
Hayo alifanya wiki mbili zilizopita kabla ya kifo chake na picha hizo zimeingia mtandaoni kwa haraka.
Baada ya pica hizo, alianza kuumwa, taratibu akalazwa na baadaye hali ikawa mbaya.
Ali mwenye historia pekee katika mchezo wa ngumi duniani anatarania kuzikwa Ijumaa.
0 comments:
Post a Comment