Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather ameingia tena kwenye headlines kwa kuongeza ndege binafsi ya pili aina ya Gulf Stream III kwa madai kuwa moja haimtoshi katika matumizi yake binafsi na amesema ameichoka.
Ndege hii yenye vifaa vilivyotengenezwa kwa Dhahabu sehemu ya ndani yenye uwezo wa kubeba abiria 12
na ina vifaa vya dhahabu sehemu tofautitofauti kama sehemu za
kuwekekea glasi, sinki la kunawia mikono lililopo kwenye jiko la ndege
hiyo na mapambo mengine ya dhahabu ambayo yamepamba ndani ya ndege hiyo.
Billionea huyo hakuwa tayari kutaja bei kamili ya ndege hiyo aliyoinunua lakini alisikika akisema haya….>>>> “ni kitu kizuri kuwa na pesa“
0 comments:
Post a Comment