Msichana huyo ni model maarufu na aliyewahi kuhusishwa pia kutoka na Justin Bieber. Hivi karibuni, Drake alionekana akiwa amevaa cheni ile ile aliyoonekana ameivaa mrembo huyo mwenye miaka 19.
Wawili hao pia walionekana Jumanne hii wakila chakula cha usiku pamoja jijini LA. Tazama picha zaidi za Hailey.
0 comments:
Post a Comment