Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, June 13, 2016

MUGABE KUISHI MILELE - WANASAYANSI

Wanasayansi wanaoheshimika sana katika Taasisi moja ya Sayansi Huko Uingereza wametoa taarifa ya utafiti ikithibitisha kwamba Rais wa Zimbabwe Komrade Robert Mugabe amegundulika kuwa na vinasaba (genes) ambavyo vitamfanya AISHI MILELE. 

Hii ni baada ya utafiti wao wa siri uliogundua pia kwamba Bob Robert haweki dawa kichwani (SUPER BLACK) wala hajawahi kukata nywele zake licha ya kutojihangaisha na kula vyakula vya mimea (veggies) ama kwenda gym

Wanasayansi hao walichukua sampuli mbalimbali toka kwa Bob ikiwemo damu, nguo zake, miswaki, na hata chanuo kwa miongo kadhaa na kugundua hakuna hata chembe ya umauti kwa Bob...
 

Inaatarifiwa kwamba hata baadhi ya watu wameanza kuamini baada ya kugundua kutoka kwenye picha za Bob akiendelea kupeta katika muonekano huohuo huku akiwa mwenye siha ya haja kwa miaka mingi sasa .........(pichani ni Bob 1990 na Bob 2015)

Mpinzani wake mkuu (ama kwa kuguswa kwamba ausahau uraisi) amejibu kwa kejeli kwamba 'Mugabe ni makusanyo ya nyama na mifupa kama hayawani wengine wote' na kwamba kila nafsi itaonja mauti (Kul nafsi dhalika lmaut)
UK Scientist Confirm Mugabe Will Never Die: Has Genes That Will Make Him Live Forever


 soma zaidi>>

0 comments: