Couple hii ni kutoka nchini Brazil ya Paulo Gabriel da Silva Barros miaka 30 na mchumba wake KatyuciaHoshino miaka 26
ambao wameingia katika kitabu cha kuvunja record duniani wakidai kua
walikutana kwenye mtandao wa kijamii miaka kumi iliopita nakuanza
mahusiano hayo.
0 comments:
Post a Comment