Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye alishitakiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook imesikilizwa leo June 08 2016 kwenye Mahakama Kuu kanda ya Arusha ambapo maamuzi yametolewa ambapo mshitakiwa ametakiwa kulipa millioni 7 au kutumikia kifungo cha miaka 3 gerezani.
Mshtakiwa amekiri kutenda kosa hilo
ambapo mahakama imeamuru alipe fedha hizo kwa awamu mbili, katika awamu
ya kwanza atalipa July 8 2016 sh mil 3.5 na August 8 2016 atalipa kiasi
kilichobaki cha sh mil 3.5.
0 comments:
Post a Comment