Rapper mkongwe kutoka Marekani, Sean Combs maarufu kama
Diddy amechora kifuani tattoo ya aliyekuwa bingwa wa dunia Mohammad Ali
aliyefariki Juni 4 mwaka huu.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diddy amepost picha inayoonyesha akiwa amechora tattoo ya jina la Mohammed Ali na kuandika, “Every tattoo on my body mean something to me. This one especially. I told him I wanted his signature. I told him I wanted it to be tattooed on me is in the mind of greatness. So he sent it to me . It is the tattoo on my chest. #RIPALI.”
Muhammad Ali alifariki Juni 4 kwenye hospitali ya huko Phoenix ambako alikuwa akitibiwa kutokana na matatizo ya kupumua.
0 comments:
Post a Comment