Jarida
maarufu la Forbes Afrika mwishoni mwa wiki hii limeiachia list ya
wajasiriamali 30 wanaotarajiwa kuwa wakubwa kutoka bara la Afrika katika
sekta zote kwa mwaka 2016, hawa ni mabilionea wa kesho.
Orodha ina
wajasiriamali kutoka barani kote Afrika, kutoka Kenya, Nigeria,
Madagascar, Tanzania, Benini, Gambia, Zimbabwe na nchi zingine za
Afrika.
Mtanzania ambaye ni Miss Universe 2010, Hellen Dause jina lake limetajwa kuwa miongoni mwa wajasiriamali hao walio chini ya umri wa miaka 30 kwa mwaka 2016.
Mhaririri Mtendaji wa Forbes Afrika, Criss Bishop amesema…….>>> ‘hii orodha ni muhimu sana Afrika kwa kijana yeyote kwa kuwa ina ushawishi wa kutosha wa kuanzisha biashara yake’.
0 comments:
Post a Comment