Mwigizaji maarufu Charlie Sheen amesema mchumba wake wa zamani Brett Rossi alijua si tu alikuwa na virusi vya ukimwi, lakini alisisitiza juu ya kufanya ngono isiyo salama kwa sababu alitaka wao kuwa "kama wanandoa wa kawaida."Sheen anadai kuwa Rossi ni mchunaji aliyetaka kumchomoa mamilioni ya dola kwa kutishia kufichua hali yake kuishi na VVU.
Sheen anasema Rossi alitaka kufanya na ngono zembe
WIKI CHACHE ZILIZOPITA SHEEN alikiri kuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi ambaye mpenzi wake huyo wa zamani alimlaumu kuwa hakuwahi kumkanya juu ya kuwa na HIV
0 comments:
Post a Comment