Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shilole ambaye aliingia kwenye headlines baada ya boyfriend wake msanii Nuh Mziwanda kunaswa kwa sauti akimtongoza mwigizaji Wema Sepetu.Ilionekana
kama baada ya kusambaa hadharani kwa sauti hiyo kungefanya mapenzi yao
yayumbe au waachane lakini imekua tofauti na matarajio kwani Shilolealithibitisha kuendelea kwao pamoja kwa kupost hiyo picha hapo juu na kuandika‘Mi siachani nawe na ntakupenda zaidi’
CHECK me!!!!

Wednesday, August 5, 2015
SHILOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA WEMA KUSAMBAZA SAUTI YA MZIWANDA AKIMTONGOZA_ona jibu lake hapa
Author: AMMY YEYOO
10:33:00 AM
Related Posts:
MOURINHO NDIYE KOCHA MWENYE MKWANJA ZAIDI Kocha Jose Mourinho wa Chelsea ndiye kocha anaingiza fedha nyingi zaidi duniani. Mourinho ameweza kuingiza hadi kitita cha pauni milioni 13.2 kwa mwaka huku … Read More
kama Muvi iliyojaa nyuso kavu,Baada ya kugombana sana na kusema hata siku moja hawez iva chungu kimoja na ASHA Baraka_choKI arudi Twanga Ali Choki akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wakitambulishwa rasmi leo. Kulia ni Super Nyamwela na Luiza Mbutu. ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki na dans… Read More
MANZI MPYA WA NEY WA MITEGO HUYU HAPA "LOL" Kilichojificha nyuma ya pazia la uhusiano wa mastaa wa Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, na Shamsa Ford sasa kimevuja baada ya mtandao huu kunasa habari z… Read More
HUYU NI MWANASOKA TAJIRI DUNIANI Lionel Messi ndiye mwanasoka tajiri zaidi duniani baada ya kuingiza karibu pauni milioni moja kwa wiki katika fedha zake za ujira pamoja na alizokuwa akilipwa na wadham… Read More
chek picha lily wyne akiwa na mpnz wake christina milan ni noma LILY WYNE akiwa na mpenzi wake christina millani ni nomaa … Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment