Msanii Willy Paul, wa nchini Kenya ambaye mara kadhaa amekumbwa na kashfa kibao ila sasa mitaa yote Tanzania anatamba na ngoma inaitwa TAM TAM akiwa na mwanadada size 8
Mara nyingi amejikuta matatani hasa baada ya kufunguliwa mashtaka mahakamani kwa tuhuma za kuvunja sheria ya hakimiliki. Willy Paul alituhumiwa na msanii Elijah Prince kwa kuiba wimbo wake na kutumia sehemu ya kazi hii kutengenezea wimbo wake huo wa 'Tamtam' bila idhini yoyote. Nyaraka za mashtaka hayo tayari zilikwishaonekana
PIA Msanii wa miondoko ya kizazi kipya maarufu kama bongo fleva, Mr.
Blue alimshtumu msanii huyo kuwa ni mwizi kutokana na
kuachia wimbo uitwao Mapenzi na Rebuka zenye Idea sawa na wimbo wa
mwanamuziki Belle 9 uitwao Masogange.
Kupitia radio station ya 94.4 Q FM ya Kenya kwenye kipindi cha Miondoko ya East Afrika kinachoendeshwa na mtangazaji Rynoh, Mr Blue aliongea akiwa hewani na kutoa kauli kuwa msanii huyo kutoka Kenya ni Mwizi wa Nyimbo pale alipoulizwa kuhusiana na msanii Willy Paul.
Mara nyingi amejikuta matatani hasa baada ya kufunguliwa mashtaka mahakamani kwa tuhuma za kuvunja sheria ya hakimiliki. Willy Paul alituhumiwa na msanii Elijah Prince kwa kuiba wimbo wake na kutumia sehemu ya kazi hii kutengenezea wimbo wake huo wa 'Tamtam' bila idhini yoyote. Nyaraka za mashtaka hayo tayari zilikwishaonekana
Kupitia radio station ya 94.4 Q FM ya Kenya kwenye kipindi cha Miondoko ya East Afrika kinachoendeshwa na mtangazaji Rynoh, Mr Blue aliongea akiwa hewani na kutoa kauli kuwa msanii huyo kutoka Kenya ni Mwizi wa Nyimbo pale alipoulizwa kuhusiana na msanii Willy Paul.
PIA mwaka 2012 ilidaiwa kuwa msanii huyo ambaye anatamani sana kuwa kama daimond_-hadi kuitwa Diamond wanna be_-alikutwa akiwa anafanya mapenzi uchochoroni na msanii mchanga anaiyeitwa pendo kitu alichokanusha
HII NDIO NGOMA YAKE inaitwa TAM TAM_yupo na size 8....NGOMA INAYOTAMBA africa mashariki nzima kwa sasa..iskize hapo chini
0 comments:
Post a Comment