Katika kile ambacho kinatarajiwa
kuwashanga wazazi, barua ambayo ilitiwa sahihi kwa niaba maabara ya serikali,
imesema kuwa baadhi ya sampuli 176 zilizochukuliwa kwa peremende maarufu , keki
na mandazi zilipatikana zikiwa na bangi baada ya kufanyiwa uchunguzi.
Kupitia kwa barua kwenda kwa wakuu
wa afya wa kaunti zote 47 nchini Kenya, wizara ya afya imewaamrisha maafisa
kukagua maduka yote, maduka ya jumla na sehemu zingine bidha hizo zinaweza
kupatikana.
0 comments:
Post a Comment