Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), imemaliza kikao chake cha kuteua
majina matatu ya watia nia ya kuwania urais yatakayopelekwa katika
Mkutano Mkuu, saa tatu usiku wa leo.
Waliopitishwa ni Dkt John Magufuli, Dkt Asha Rose Migiro na Balozi Amina Salum Ali.
Nini maoni yako.
0 comments:
Post a Comment