Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Sunday, May 24, 2015

BREAKING NEWSS BASI LA SUPER FEO LAPATA AJALI MBEYA

unnamed  
Basi LA Super Feo linalofanya
safari zake kati ya Mbeya na Songea likiwa limetumbukia
mtoni Leo asubuhi. basi hilo la Super Feo  lilikuwa
likitokea Mbeya kwenda Songea limetumbukia
mtoni baada ya kujaribu kulipita gari lingine  na kukutana na lori
mbele yake kisha likatumbukia mtoni karibu na
eneo la Pipeline Inyara wakati dereva wa basi hilo akijaribu kukwepa roli hilo.
  Bado haijafahamika ni abiria wangapi wamepoteza maisha ama kujeruhiwa Taarifa zaidi zitafuata kadri tutakavyozipata kutoka kwa mamlaka husika.

0 comments: