Muigizaji wa filamu za Bongo, Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wa kike
siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni
dancer wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.
Aunty ameshare habari hiyo na mashabiki wake wa Instagram:
“Amin ktk Mungu ndio Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka
Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.
"Ahsante Mungu wang kwa
kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yy atende
kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante tena Ahsante kwa zawadi hii
kubwa ktk Maisha kwani ilikuwa ni kipindi kigumu chenye majaribu ya kila
aina kupitia binaadamu wajizaniao wao ni miungu watu Bac endelea
kunyoosha mkono wako ktk paji la kiumbe wako ukiwa kama kinga nami niwe
kivuli tuu juu yake Amen Whn Jesus Say Yes Ni body can Say
wht!!!!!!!Wlcm Baby Cookie wlcm 2 da world KIBOKO YANG…”
Diamond ambaye ni uncle wa Cookie pia amempongeza Aunty na Mose kupitia Instagram:
“Hongera sana @auntyezekiel na @Moseiyobo kwa kupata Mtoto wa
kike… unataka kujua na jina anaitwa nani????…anaitwa #Cookie yaani
inatamkwa #Kuki maana hamkawii kumuharibu jina na kumuita #Kookie
@naytrueboy Njoo uone Mafundi washapata Mtoto kiulaiiiiiiiiini.”
0 comments:
Post a Comment