Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Friday, April 24, 2015

YANGA YAIKANDIKA RUVU SHOOTING BAO 5 BILA TAIFA





BAO LA KWANZA la YANGA limefungwa na  Msuva a kwa kichwa baada ya kuunganisha krosi safi ya Niyonzima

Bao la pili limefungwa na Sherman ambaye aliunganisha vizuri na kuifungia Yanga bao la pili likiwa lake tatu msimu huu

BAO LA TATU LA TATU KWA YANGA LILIFUNGWA Dk 45, ambapo Msuva anafunga bao la tatu, la pili kwake leo na la 16 kwake msimu huu.

 Dk 58, Tambwe aliifungua Yanga bao la nne baada ya mabeki wa Ruvu kujichanganya na yeye anamalizia kwa ufundi mkubwa. Hilo ni bao lake la 11

BAO LA TANO  LILIFUNGWA Dk 67 na Sherman ambaye anafunga bao la tano kwa kichwa akiiwahi krosi ya nzuri ya Abdul Juma

0 comments: