Mcheza sinema maarufu duniani Sylvester Stallone 'Rambo' na bondia Manny Pacquiao.
Hata hivyo, mtangazaji wa mapambano ya ngumi, Larry Merchant,
alitofautiana na Rambo aliposema kwamba yeye anaweka kete zake kwa
Pacquiao kushinda pambano hilo.Pambano hilo ambalo ndiyo ‘gumzo la mjini’ limeonyesha pia kwamba bondia maarufu wa zamani, Muhammad Ali, amesema mshindi atakuwa Pacquiao. Hii ni kwa mujibu wa binti yake aliyewaambia waandishi wa habari. Binti huyo, Laila, naye ni bondia Mmarekani ambaye alistaafu bila kushindwa.
CHANZO: MTANDAO WA PULSE>NING
0 comments:
Post a Comment