Ali Choki akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wakitambulishwa rasmi leo. Kulia ni Super Nyamwela na Luiza Mbutu.
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali
Choki na dansa wake Super Nyamwela wamejiunga rasmi na Bendi ya Twanga
Pepeta leo na kutambulishwa kwa wanahabari katika mkutano uliofanyika
Nemax Hotel, Kinondoni jijini Dar.
CHECK me!!!!
Wednesday, April 8, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment