mUIGIZAJI MAHIRI WA Bongo Lulu michael amesema watu
waache mambo ya kumsema vibaya Kwamba alikuwa na mahusiano na Hayati
Komba ila cha msingi wamwache Martehemu apumzike kwa amani
Lulu amesema hayo baada ya watu kumtusi kwatika mitandao ya kijamii kuwa amekuwa katika mahusiano yasiyo rasmi na Komba na kujengewa nyumba
Aidha watu wengi katika mitandao wameenda mbali na kudai kuwa Ni hatari kwa mwanaume kuwa na binti huyo baada ya Tatizo kama hili kutokea kwa Kanumba

0 comments:
Post a Comment