Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Sunday, March 22, 2015

afande SELE AWATEMA CHADEMA AMFUATA ZITO ACT


Zitto Kabwe, Afande Sele wakiwa na baadhi ya wanachama wapya wa ACT-Tanzania.
MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' naye amejiunga rasmi na chama cha ACT-Tanzania.
Afande Sele akiongea na wanahabari (hawapo pichani) katika ukumbi wa mikutano ndani ya Hoteli ya Serena, Dar.
Afande Sele ambaye alikuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amejiunga na ACT-Tanzania leo wakati wa mkutano na wanahabari uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Zitto akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano ndani ya Hoteli ya Serena, Dar.

0 comments: