Kocha
wa Man United Louis Van Gaal amesema uamuzi wa kumuondoa mshambuliaji
Radamel Falcao kutoka kwenye kikosi chake ulikuwa wa kiufundi.
Falcao anaichezea manchester kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu akitokea Monaco lakini amefunga magoli matatu pekee tangu alipojiunga na Manchester mwezi Septemba mwaka jana
0 comments:
Post a Comment