Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Friday, January 9, 2015

MTOTO WA JACK CHAN__AHUKUMIWA KWENDA JELA KWA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

JAck chan
MTOTO wa JACK CHAN JAYCEE CHAN AMEENDA JELA miezi 6 baada ya kupatika
na na madawa ya kulevya na pia kulipishwa faini ya dola $322

Jessica-Cambensy-and-Jaycee-Chan-in-Double-Trouble-2012-Movie-Image
JAYCEE CHAN
Mtoto wa nguli huyo wa filamu mwenye umri wa miaka 32 hivi sasa amekutwa na hatia na mahakama ya Beijing China
Polisi walivamia nyumbani kwake na kukuta gramu 100 za bhangi

Baba yake JACK CHAN  yake ambaye alishawahi kuwa balozi wa kitengo cha polisi cha kuzuia madawa ya kulevya amesema kuwa mtoto wake amemuaibisha na amesikitishwa na tabia yake

0 comments: